Wakati wa press conference ya kutangaza kuwa NOKIA imekuwa acquired na Microsoft, Nokia CEO alimaliza speech yake kwa kusema “we didn’t do anything wrong, but somehow, we lost”.
Juu ya kusema hilo, management yake/team yake na yeye mwenyewe, walikuwa wakitokwa machozi ya huzuni.
Nokia imekuwa kampuni yenye heshima kubwa duniani. Hawajafanya lolote baya /they didn’t do anything wrong katika biashara yao, kilichotokea ni DUNIA KUBADILIKA KWA HARAKA SANA huku wao wakiwa wame relax(hawaendi sambamba na mabadiliko).
Malengo yao yalikuwa yenye nguvu . Walipopotea wao ni kutojifunza kubadilika na hapo ndipo wakapoteza nafasi kubwa sana iliyokuwa mikononi mwao ya kuifanya nokia kuwa kampuni kubwa,
na pia si nafas tu walipoteza nafas ya kutengeneza pesa nyingi. Na wakashindwa ku survive. Ujumbe wa story hii ni huu. Usipobadilika , utatolewa katika shindano. Si kosa kama hutaki kujifunza mambo mapya Ila Pia kama unafikiri kuwa mindset yako haiwezi badilika na muda unavyoenda *amini usiamini* utakuwa eliminated.
Conclusion:
1. Faida uliyokuwa nayo jana inaweza kuzidiwa na Toleo Jipya dogo La kesho, You don’t have to do anything wrong ili upitwe katika maendeleo,au u feli katika biashara yako, kama ww ni mshindani nenda na mawimbi na ufanye KWELI, laa si hivyo Unaweza kupoteza na kufeli, na kupoteza biashara zako zote.
2.Kubadilika na kujiinua mwenyewe ni kujipa mwenyewe nafasi ya pili ya kufanya tena ..na si kujaribu. Ukilazimishwa na wengine ubadilike jua kuwa utakuwa unaondolewa kwenye shindano Wale wanaokataa kujifunza na kukua/kujiinua HAKIKA siku moja hatutowasikia kabisa na hawato onekana tena katika kiwanda cha ushindani walichopo. UTABAKI KUWA historia. Jua kabisa utajifunza somo kwa ugumu na kwa gharama sana ili urudi kwenye status yako ya awali .
wazo la leo!!
Despite
restrictions on education of blacks during apartheid, she earned a
degree in social work from the Jan Hofmeyer School in Johannesburg, and
several years later earned a Bachelor’s degree in international
relations from the University of Witwatersrand.
Read more https://independent.ng/15-facts-about-winnie-mandela-you-may-not-know/
Read more https://independent.ng/15-facts-about-winnie-mandela-you-may-not-know/
Winnie Madikizela–Mandela was born on the 26th of September 1936 in the village of eMbongweni Eastern Cape Province.

No comments:
Post a Comment