Monday, May 15, 2017

FAHAMU -MAUMIVU 10 KATIKA SAFARI YA MAFANIKIO.

MAUMIVU 10 KATIKA SAFARI YA MAFANIKIO.
1.Wastani wa maisha ya mwanadamu mpaka sasa ni mfupi. 
2.Utaishi maisha pekee utakayo yatengeneza mwenyewe.
3.Kila kitu kinabadilika kila sekunde
4.Unacho kimiliki sicho kinacho kutambulisha wewe ni nani.
5.kuwa bize hakukufanyi wewe kuwa mzalishaji.
6.Kushindwa Katika Safari ya mafanikio hutokea kabla ya mafanikio.
7.Kufikiri na kutenda ni vitu Viwili tofauti katika mafanikio.
8.Hauna haja ya kusubiri Ombi la Msamaha ili kusamehe.
9.Baadhi ya watu hawaendani na wewe .
10.Si kazi ya wanao kuzunguka kukupenda, hiyo ni kazi yako.

No comments:

Post a Comment