Tuesday, April 3, 2018

YALIYO PITA YAME PITA

Unacho kifanya leo  ,ni kitakutambulisho cha jinsi unavyo ishi au maisha yako yatakavyo kuwa kesho

ni kwa bahati mbaya sana  watu wengi wanatumia muda kujuta kwa ya yaliyopita, kufikiria na kupanga yaliyopita badala ya kutambua lilo pita lime pita YAMEISHA , Kilicho tokea jana kika kuumiza hakina matokeo kesho, ukiwaza ya jana sana yata kufanya uharibu uwezo wako wa yajayo.
chukua biashara yako, mfano unataka kuongeza idadi ya wateja,kabla hujaanza chochote unapokuwa unafikiria hili huwa unajipa picha ya jinsi biashara itakavyo kuwa miaka kadhaa ijayo , then unachukua hatua na kuanza kufanyia kazi na sio unavuta picha kwa jinsi ulivyo feli nyuma,  kwa hiyo hatua itakayo fuata nikuanza kujenga ile picha ya mafanikio yako uliyo  iona katika mawazo ya mbele , sasa ukiwa na plan ya kuvuta hao wateja ili upate wateja wengi siku zijazo ni bora kuliko kutokuwaza kabisa kuvuta picha hiyo.
remember the more action you take, the more your future will look like you want it to.

hii ni sababu huwa naona magazeti yanaweza hata ku haribu watu, sababu yana habari nzuri ila zilizopita, yamezingatia kwenye yaliyo pita na siyo yajayo.yajayo ni muhtasari wa matendo uyafanyayo sasa . siyo ulliyo yafanya au ambayo hukuyafanya jana.
"jifunze kwenye yaliyopita ili ufanikiwe katika yajayo. ila usikae na kuanza kuwazia AU kufanyia kazi yaliyopita utachelewesha mafanikio yako."


No comments:

Post a Comment